Lucy Fidelis Owenya

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Lucy Fidelis Owenya (amezaliwa tarehe 2 Februari 1964) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha CHADEMA. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Viti Maalum kwa miaka 20152020. [1]

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads