Luena

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Luena ni mji uliopo mashariki mwa nchi ya Angola katika mkoa wa Moxico. Ndio makao makuu ya mkoa huo.

Mwaka 2014 idadi ya watu ilikuwa 357,413[1].

Tazama pia

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads