Luigi Galvani
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Luigi Galvani (matamshi ya Kiitalia: luˈiːdʒi ɡalˈvaːni; kwa Kilatini: Aloysius Galvanus; 9 Septemba 1737 – 4 Desemba 1798) alikuwa mwanafizikia, tabibu, mwanabiolojia na mwanafalsafa wa Italia. Ni maarufu kwa kuvumbua umeme mwilini mwa wanyama na anatambulikana kama mwanzilishi wa umemesumaku wa kibiolojia.


Mwaka 1780 alivumbua kwamba misuli ya miguu ya vyura wafu ilishtuka ilipochokozwa kwa umeme kidogo.[1]
Remove ads
Maandishi yake
- De viribus electricitatis, 1791. The International Centre for the History of Universities and Science (CIS), Università di Bologna
Tanbihi
Vyanzo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads