Alois Batis na wenzake
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Alois Batis na wenzake (majina kamili kwa Kihispania: Luis Bátis Sáinz, Emanuel Morales, Salvatore Lara Puente, David Roldán Lara; waliuawa Chalchihuites, Durango, 15 Agosti 1926) walikuwa Wakristo wa Meksiko waliouawa bila kesi wakati wa Vita vya Wakristero[1].

Alois alikuwa padri wa Kanisa Katoliki, wengine walei.
Papa Yohane Paulo II aliwatangaza wenye heri tarehe 22 Novemba 1992 halafu watakatifu wafiadini tarehe 21 Mei 2000 pamoja na wenzao 21 waliofia dini katika vita hivyo[2]:
Sikukuu yao inaadhimishwa kila tarehe 21 Mei ila ya kwao wenyewe ni tarehe ya kifodini chao[3].
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads