Lukresia wa Merida
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Lukresia wa Merida (alifariki Merida, Hispania, 304 hivi) alikuwa mwanamke anayeheshimiwa na Wakristo wa madhehebu mbalimbali kama mtakatifu mwenye sifa ya mfiadini[1][2].
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 23 Novemba[3].
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads