MC Lyte

From Wikipedia, the free encyclopedia

MC Lyte
Remove ads

Lana Michele Moorer (anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama MC Lyte; amezaliwa Brooklyn, New York, 11 Oktoba 1971)[1]

Ukweli wa haraka Maelezo ya awali, Jina la kuzaliwa ...

ni msanii wa muziki wa rap wa kike na ni ndugu wa Milk Dee na Gizmo, ambao waliokuwa wanafanya rekodi zao kwa jina la Audio Two. MC Lyte ni mmoja kati ya wanachama wa Sigma Gamma Rho Sorority, Inc.

Remove ads

Muziki

Albamu za muziki

  • 1988 Lyte as a Rock
  • 1989 Eyes on This
  • 1991 Act Like You Know
  • 1993 Ain't No Other
  • 1996 Bad As I Wanna B <RIAA Certification>: Gold
  • 1998 Seven & Seven
  • 1998 Badder Than B-Fore
  • 2001 The Very Best of MC Lyte
  • 2003 Da Undaground Heat, Vol. 1
  • 2003 The Shit I Never Dropped
  • 2005 Rhyme Masters
  • 2006 Wonder Years

Single zake

Maelezo zaidi Mwaka, Jina ...
Remove ads

Marejeo

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads