Maandamano

From Wikipedia, the free encyclopedia

Maandamano
Remove ads

Maandamano (kutoka kitenzi "andaa" kilichonyambuliwa kwa viambishi -ma- na -na-; kwa Kiingereza procession, kutoka Kilatini processio, pia cortege) ni kundi la watu wanaotembea pamoja kwa utaratibu maalumu.

Thumb
Maandamano ya kifalme
Thumb
Maandamano ya mazishi, mchoro mdogo wa karne ya 15, British Museum.
Thumb
Wakleri Waorthodoksi wa Ethiopia wakiongoza maandamano ya Mt. Mikaeli Malaika Mkuu.

Yametumika nyakati zote na mahali pote kwa ajili ya ibada, siasa n.k. inavyoonekana k.mf. katika michoro mingi ya zamani, hasa ya mazishi na ya kushangilia ushindi vitani.

Siku hizi yanafanyika pia kwa kutoa hoja na kudai haki.

Remove ads

Tanbihi

Marejeo

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads