Machame Magharibi
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Machame Magharibi ni kata ya Wilaya ya Hai katika Mkoa wa Kilimanjaro, Tanzania.
Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 4,827 [1]. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 6,503 [2] walioishi humo.
Msimbo wa posta ni 25308.
Kati ya vijiji vya Machame Magharibi kuna kijiji cha Nronga ambako mwandishi Elieshi Lema alizaliwa mwaka 1949.[3]
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads