Madeira
ukarasa wa maana wa Wikimedia From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Madeira ni neno la kutaja hasa:
- kisiwa cha Kireno cha Madeira katika bahari ya Atlantiki mbele ya pwani ya Afrika.
- funguvisiwa la Madeira ambamo kisiwa chenye jina hilo ndicho kikubwa
- divai ya Madeira inayotegenezwa visiwani na kuwa maarufu duniani

Kutokana na maana hiyo asili jina lietumika duniani kwa njia mbalimbali:
- Mto Madeira ni tawimto la Amazonas katika Amerika ya Kusini.
- Madeira ni mji katika dola la Ohio la Marekani.
- Madeira Beach ni mji wa jimbo la Florida la Marekani.
- Madeira ni pia jina la watu mbalimbali wenye asili ya Ureno.
Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads