Mafinga
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Mafinga ni mji katika Mkoa wa Iringa, Tanzania. Eneo hili limepata halmashauri yake na hadhi ya mji (town) tangu mwaka 2007.
Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, wilaya ina wakazi wapatao 51,902 waishio humo. [1] Katika sensa ya mwaka 2022 walihesabiwa 122,329 [2].
Mafinga iko kando ya barabara ya TANZAM kutoka Dar es Salaam kwenda Mbeya, Zambia na Malawi.
Wakati wa ukoloni iliitwa "John`s Corner". Kuna sehemu mbili yaani Mafinga yenyewe na kwa umbali wa kilomita 15 iko Sao Hill.
Remove ads
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads