Maftaha Abdallah Nachuma
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Maftaha Abdallah Nachuma ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CUF. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Mtwara Mjini kwa miaka 2015 – 2020. [1] Maftaha Nachuma amesoma shahada ya kwanza kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na Shahada ya pili ya uzamili kutoka Chuo Kikuu Huria cha Tanzania mwaka 2015.
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads