Magamba (Mpanda)
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Kwa matumizi mengine ya jina hili, tazama Magamba.
Magamba ni miongoni mwa kata 15 zinazounda manisipaa ya Mpanda katika Mkoa wa Katavi, Tanzania. Ina postikodi namba 50114 . Awali ilikuwa kata mojawapo ya Wilaya ya Mlele.
Magamba ina jumla ya vijiji vitano ambavyo ni: Magamba, Makongolo, Dilifu, Society na Mtakumbuka.
Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi wa kata walihesabiwa kuwa 14,234 [1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 3,186 waishio humo.[2]
Remove ads
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads