Mahaba Niue
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
"Mahaba Niue" ni jina la filamu ya vichekesho iliyotoka 2013 kutoka nchini Tanzania. Ndani yake anakuja Simon Mwapangata, Jacqueline Wolper, Haji Salum na Zubery Mohamed. Filamu imeongozwa na Rashid Mrutu na kutayarishwa na Steps Entertainment na Simulizi African Entertainment. Filamu inahusu mambo ya wivu kupita kiasi katika suala zima la mapenzi na kuhusu ndoa kwa wanawake warembo na changamoto zake.[1]
Remove ads
Remove ads
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads