Mkwaju

From Wikipedia, the free encyclopedia

Mkwaju
Remove ads

Mkwaju, msisi au makombe (jina la kisayansi: Tamarindus indica) ni mti mkubwa wa familia Fabaceae ambao asili yake ni Afrika Mashariki na India.

Maelezo zaidi Uainishaji wa kisayansi ...

Tunda lake huitwa ukwaju ambalo lina umbo jembamba, rangi ya kijani likiwa bichi au ya kaki linapoiva na lina nyama gwadu ilikayo hasa kama kiungo katika vyakula na vinywaji.

Remove ads

Picha

Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkwaju kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads