Mang'ula
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Mang'ula ni kata ya Wilaya ya Ifakara Mjini katika Mkoa wa Morogoro, Tanzania yenye Postikodi namba 67505.
Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 6,144 [1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 36,176 [2] walioishi humo.
Wakazi wa kata hii hujishughulisha na kilimo cha mpunga pamoja na miwa.
Utalii unaofanyika katika hifadhi ya misitu ya Udzungwa, ambayo ni kivutio kikubwa kwa watalii kutoka nje ya nchi, kama vile Mbega Mwekundu ambao hawapatikani sehemu nyingine duniani.
Remove ads
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads