Manza
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Manza ni kata ya Wilaya ya Mkinga katika Mkoa wa Tanga, Tanzania.
Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 5,483 [1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 3,613 [2] waishio humo.
Historia
Kulikuwa mahali pa makazi ya Waswahili wa kale katika pwani ya kaskazini ya Tanzania kwenye Bahari ya Hindi.
Tazama pia
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads