Maria Du Zhauzhi
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Maria Du Zhauzhi (Qifengzhuang, 1849 hivi - Wangjiatian, 28 Juni 1900) alikuwa mwanamke wa China aliyefia Ukristo wakati wa Uasi wa Mabondia.

Mama wa padri, alikataa kukimbia ili asisaliti imani ya Kikristo akatoa kwa utulivu shingo lake kukatwa kwa shoka[1].
Papa Yohane Paulo II alimtangaza mtakatifu pamoja na wengine 119 tarehe 1 Oktoba 2000.
Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 9 Julai, lakini ya kwake mwenyewe tarehe ya kifodini chake[2].
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads
