Maria Guo Lizhi
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Maria Guo Lizhi (Hujiache, 1835 hivi - Hujiache, 7 Julai 1900) alikuwa mwanamke wa China aliyefia Ukristo wakati wa Uasi wa Mabondia baada ya kutegemeza jamaa zake 7 kufia imani yao[1].

Papa Yohane Paulo II alimtangaza mtakatifu pamoja na wengine 119 tarehe 1 Oktoba 2000.
Sikukuu yao huadhimishwa kwa pamoja kila mwaka tarehe 9 Julai, lakini ya kwake mwenyewe tarehe 7 Julai[2].
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads