Maria Wang Lizhi
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Maria Wang Lizhi (Fancun, 1851 hivi - Daning, 22 Julai 1900) alikuwa mwanamke wa China aliyefia Ukristo wakati wa Uasi wa Mabondia.

Baadhi ya Wapagani walijaribu kumuokoa kwa kusema si Mkristo, lakini mwenyewe alijitangaza wazi kuwa mtumishi wa Yesu Kristo na kwa sababu hiyo akauawa mara [1].
Papa Yohane Paulo II alimtangaza mtakatifu pamoja na wengine 119 tarehe 1 Oktoba 2000.
Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 9 Julai, lakini ya kwake mwenyewe tarehe 22 Julai[2].
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads