Marisol Nichols
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Marisol Nichols (amezaliwa tar. 2 Novemba 1973) ni mwigizaji wa filamu na tamthilia kutoka nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa kushiriki kwake katika msimu wa sita wa mfululizo wa kipindi cha televisheni cha 24. Akiwa katika 24, alitumia jina la Nadia Yassir. Pia, anajulikana kwa kucheza kama Audrey Griswold katika Vegas Vacation na vilevile kuwa mwongeaji wa Bally Total Fitness.
Remove ads
Viungo vya Nje
- Marisol Nichols official website
- Marisol Nichols at the Internet Movie Database
- Marisol Nichols katika TV.com
- Marisol Nichols interview Ilihifadhiwa 24 Julai 2008 kwenye Wayback Machine.
![]() |
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Marisol Nichols kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads