Nadia Yassir
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Nadia Yassir ni jina la uhusika wa kipindi cha televisheni cha Kimarekani maarufu kama 24. Uhusika unachezwa na Marisol Nichols.
Alianza kutambulakana katika Msimu wa 6 wa mfululizo huu, na anafanya kazi katika Kitengo cha Kuzuia Ugaidi cha Los Angeles (CTU), tawi dogo la CIA. Kwa muda mfupi katika msimu wa sita, akachukua nafasi ya Bill Buchanan akiwa kama Mkurugenzi wa CTU baada ya kuachishwa kazi kwa Buchanan.
Remove ads
Viungo vya Nje
- Nadia Yassir profile at FOX.com Ilihifadhiwa 2 Februari 2009 kwenye Wayback Machine.
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads