Marcouf

From Wikipedia, the free encyclopedia

Marcouf
Remove ads

Marcouf (pia Marcoult, Marculf, Marcoul, Marcou; alifariki 1 Mei 558) alikuwa mkaapweke, halafu abati wa Nantus (Nanteuil-en-Cotentin), Cotentin, Ufaransa[1].

Thumb
Marcouf akimponya mfalme wa Ufaransa.

Alishughulikia uinjilishaji wa kisiwa cha Jersey.

Tangu kale huheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 1 Mei[2].

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads