Matlan Tabibu
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Matlan Tabibu (pia: Batlan) ni kati ya Wakristo waliofia dini yao[1].
Hayajulikani mengine kuhusu historia yake, ila tangu kale anaheshimiwa na Kanisa la Kiorthodoksi la Ethiopia kama mtakatifu.
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads