Maungamo
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Maungamo (kwa Kilatini: Confessiones kwa Kiingereza: Confessions[1]) ni habari za maisha ya Augustino wa Hippo zilizoandikwa naye mwenyewe kwa Kilatini kati ya miaka 397 na 400.[2]

Ni mfululizo wa vitabu 13 anamosimulia historia yake, hasa ujana wake wenye dhambi na uongofu wake kwa Ukristo wa Kanisa Katoliki uliokuwa dini ya mama yake, Monika. Ndani yake, Augustino anaungama sifa za Mungu na ukosefu wake, akiangaza teolojia na maisha ya kiroho. Baada ya vitabu hivyo, Augustino aliishi tena miaka 30.
Maungamo ni kati ya vitabu maarufu zaidi vya Augustino na wa lugha ya Kilatini [3].
Remove ads
Muhtasari kwa Kiswahili
- M. CULLEN, O.S.A., Maungamo ya Mtakatifu Augustino kwa Muhtasari – tafsiri ya E. Msigala, O.S.A. - ed. Benedictine Publications Ndanda Peramiho – Ndanda – ISBN 9976-63-643-1
Matoleo ya Kiingereza
- The Confessions of St. Augustine, transl. Edward Bouverie Pusey, 1909.
- St. Augustine (1960). The Confessions of St. Augustine. transl., introd. & notes, John K. Ryan. New York: Image Books. ISBN 0-385-02955-1.
- Maria Boulding, Saint Augustine: The Confessions, Hyde Park NY: New City Press (The Works of Saint Augustine I/1), 2002 ISBN 1-56548154-2
- F. J. Sheed, Confessions, ed. Michael P. Foley. 2nd ed., Hackett Publishing Co., 2006. ISBN 0-8722081-68
- Carolyn Hammond, Augustine: Confessions Vol. I Books 1–8, MA: Harvard University Press (Loeb Classical Library), 2014. ISBN 0-67499685-2
- Carolyn Hammond, Augustine: Confessions Vol. II Books 9–13, MA: Harvard University Press (Loeb Classical Library), 2016. ISBN 0-67499693-3
- Sarah Ruden, Augustine: Confessions, Modern Library (Penguin Random House), 2018. ISBN 978-0-81298648-8
Remove ads
Tanbihi
Vyanzo
Marejeo mengine
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads