Mauro mfiadini
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Mauro mfiadini (alifariki 283 hivi) alikuwa Mkristo wa Moroko ya leo aliyehamia Roma na kufia dini yake wakati wa dhuluma ya kaisari Numerian.
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 22 Novemba[1].
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads