Mbabane

From Wikipedia, the free encyclopedia

Mbabane
Remove ads

Mbabane ni mji mkuu wa Eswatini ikiwa na wakazi 76,218 (2005). Ofisi za serikali ziko huko lakini bunge na jumba la mfalme yako mjini Lobamba.

Ukweli wa haraka Nchi ...
Thumb
Thumb
Mbabane, mji mkuu wa Eswatini

Mji uko kwenye milima ya Mdimba kwenye kimo cha mita 1200 juu ya UB.

Historia

Mji ulianzishwa na Waingereza mwaka 1902 BK baada ya vita dhidi ya makaburu ukawa makao makuu ya kiutawala ya eneo la Uswazi.

Jina limetokana na chifu Mbabane Kunene aliyekuwa mkuu wa sehemu ile wakati wa kuunda mji.

Uchumi

Nguvu ya kiuchumi ya Mbabane ni migodi ya karibu ya bati na dhahabu.


Tazama pia

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mbabane kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads