Mbaraka Salim Bawazir
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Mbaraka Salim Bawazir(amezaliwa 1 Mei 1957) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama Cha Mapinduzi (CCM). Amechaguliwa kuwa mbunge wa Kilosa kwa mwaka 2015 – 2020. [1]
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads