Mbezi (Ubungo)
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Kwa makala ya Mbezi ya Mkuranga, Pwani, tafadhali fungua hapa

Mbezi ni kata ya Wilaya ya Ubungo katika Mkoa wa Dar es Salaam, Tanzania, yenye postikodi namba 16113.
Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 143,803 [1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 73,414 waishio humo. [2] Inasemekana jamii iliyokuwa na watu wengi ni Wagogo wanaopatikana sehemu za Mpiji Magoe mtaa wa Makuti kijiji cha Msakuzi.
Kuna wafanya biashara wadogowadogo.
Remove ads
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads