Mbingu (Mlimba)
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Kwa matumizi tofauti ya jina hili angalia Mbingu
Mbingu ni kata mojawapo ya Wilaya ya Mlimba katika Mkoa wa Morogoro, Tanzania, yenye Postikodi namba 67512.
Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 15,180 [1]. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 22,717 [2] walioishi humo. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2002, kata ina wakazi wapatao 13,610 waishio humo. [3]
Kuna vijiji vya Vigaeni, Chiwachiwa na Mbingu.
Wakazi wengi ni wakulima wanaolima mahindi, mpunga, ndizi, muhogo, kokoa na mengineyo.
Pia wanajihusisha na uvuvi wa samaki kwenye mito midogomidogo na mabwawa.
Makampuni yasiyo ya kiserikal yanayojihusisha na shughul za kilimo yanayopatikana Mbingu ni pamoja na KOKOAKAMIL, OLAM and JATU.
Remove ads
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads