Mchafukoge

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Mchafukoge ni kata ya Wilaya ya Ilala katika Mkoa wa Dar es Salaam, Tanzania, yenye postikodi namba 11105.

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 7,999 [1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2002, kata ilikuwa na wakazi wapatao 7,664 waishio humo.[2]

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads