Mduuni

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Mduuni (Mji wa Kale wa Msuka Mjini) ni eneo lililohifadhiwa la kihistoria lililopo ndani ya Wilaya ya Micheweni, Mkoa wa Kaskazini Pemba nchini Tanzania.

Makazi hayo yalianzishwa mnamo 1100 BK[1][2][3][4][5][6]

Tazama pia

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads