Kaangao

From Wikipedia, the free encyclopedia

Kaangao
Remove ads

Kaangao ni wanyama wa oda Xiphosura katika ngeli Merostomata. Hawa ni kheliserata wakubwa sana.

Maelezo zaidi Uainishaji wa kisayansi, Ngazi za chini ...
Remove ads

Spishi

  • Carcinoscorpius rotundicauda, Kaangao-misitubahari (Mangrove Horseshoe Crab) - Asia ya Kusini Mashariki
  • Limulus polyphemus, Kaangao wa Atlantiki (Atlantic Horseshoe Crab) - pwani ya Atlantiki na Ghuba ya Meksiko
  • Tachypleus gigas, Kaangao Mkubwa - Asia ya Kusini na ya Kusini Mashariki
  • Tachypleus tridentatus, Kaangao Meno-matatu - pwani za Asia ya Mashariki

Picha

Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kaangao kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads