Messina
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Messina ni mji wa Italia katika mkoa wa Sisilia. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2009, mji una wakazi wapatao 250,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo mita 3 kutoka juu ya usawa wa bahari. Ina bandari muhimu.

Remove ads
Tazama pia
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads