Meugan
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Meugan (pia: Mawgan, Malcan, Malcaut, Machan, Maugen, Mawan, Meugan, Meygan, Moygan, Migan, Maugand, Malgand, Magaldus; alifariki Anglesey, Welisi, 498 hivi) alikuwa mmonaki na askofu mwenye maisha yaliyong'aa [1].
Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Tazama pia
Tanbihi
Vyanzo
Marejeo mengine
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads