Mfumo wa kingamaradhi
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Mfumo wa kingamaradhi (kwa Kiingereza immune system) ni seti ya tishu za mwili zinazofanya kazi pamoja ili kukwepa ugonjwa.


Mfumo huo unasaidia kiumbehai kutambua na kuzuia hatari kutoka nje kwa afya yake, kama vile virusi, bakteria na vidusia mbalimbali.[1]
Kumbe pengine mfumo wenyewe umeathiriwa na kwa sababu hiyo unashindwa kufanya kazi.[2][3] Mfano mmojawapo wa ukosefu huo ni UKIMWI unaosababishwa na VVU.
Mfumo huo ni wa zamani sana, kiasi kwamba uliweza kuwepo katika eukaryota wa seli moja tu, kabla ya wanyama na mimea kutofautiana.[4][4]
Fani muhimu ya sayansi inayochunguza mfumo huo inaitwa imunolojia.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads