Millard Fillmore
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Millard Fillmore (7 Januari 1800 – 8 Machi 1874) alikuwa Rais wa 13 wa Marekani kuanzia mwaka wa 1850 hadi 1853. Alianza kama Kaimu Rais wa Rais Zachary Taylor mwaka wa 1849 na kumfuata wakati wa kifo chake.
Remove ads
Tazamia pia
![]() |
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Millard Fillmore kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads