Mkoa wa Adamawa
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Mkoa wa Adamawa ni mmojawapo kati ya mikoa ya Kamerun. Jina lenyewe linadokeza mahali pake nchini, kwenye Adamawa Plateau, katikati ya nchi.
Mkoa huo una wakazi 1,200,095 (kadirio la mwaka 2015[1]) katika eneo la Km² 63,701.
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads