Mkoa wa Bursa

From Wikipedia, the free encyclopedia

Mkoa wa Bursa
Remove ads

Bursa ni jina la mkoa uliopo mjini magharibi mwa nchi ya Uturuki. Mkoa upo kwenye kanda ya Bahari ya Marmara. Mikoa inayopakana na hapa ni pamoja na Balıkesir kwa upande wa magharibi, Kütahya kwa kupande wa kusini, Bilecik na Sakarya kwa upande wa mashariki, Kocaeli kwa upande wa kaskazini-mashariki na Yalova kwa upande wa kaskazini. Mkoa una eneo la kilomita za mraba zipatazo 11,043 na jumla ya wakazi wapatao 2,413,971 wanaoishi mkoani hapa (makadirio ya 2006).

Ukweli wa haraka Maeneo ya Mkoa wa Bursa nchini Uturuki, Maelezo ...
Remove ads

Wilaya za mkoani hapa

Mkoa wa Bursa umegawanyika katika wilaya 17 (mji mkuu umekoozeshwa):

Viungo vya Nje

Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Bursa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads