Mkoa wa Istanbul
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Mkoa wa Istanbul ni moja kati ya Mikoa ya Uturuki. Upo mjini kaskazini-mashariki mwa nchi. Mkoa umechukua eneo la kilomita za mraba zipatazo 5,196 na jumla ya wakazi takriban 12,573,836 (makadiro ya 2007). Awali idadi ya wakazi kuwa 10,018,735 kunako mwaka wa 2000. Mkoa huu umezungukwa na mikoa mingine kama vile Tekirdağ kwa upande wa magharibi, Mkoa wa Kocaeli kwa upande wa mashariki, Bahari Nyeusi kwa upande wa kaskazini na Bahari ya Marmara kwa upande wa kusini mwa nchi. Mkoa huu una sehemu mbili: una upande wa Ulaya na upande ni Asia. Mji mkuu wake ni jiji la Istanbul ambalo linajulikana sana kuliko hata mkoa wenyewe.
Remove ads
Miji ya Istanbul
Remove ads
Wilaya za mkoani hapa
Viungo vya Nje
- Office of the Governor of Istanbul Province Ilihifadhiwa 22 Desemba 2006 kwenye Wayback Machine.
- All Information About Istanbul Ilihifadhiwa 15 Novemba 2018 kwenye Wayback Machine.
- Istanbul Weather Forecast Information Ilihifadhiwa 28 Desemba 2007 kwenye Wayback Machine.
- Istanbul Travel Guide
- Istanbul travel & tourism
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Istanbul kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads