Mkoa wa Kivu Kaskazini

jimbo la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo From Wikipedia, the free encyclopedia

Mkoa wa Kivu Kaskazini
Remove ads

Mkoa wa Kivu Kaskazini ni mmojawapo kati ya mikoa 26 ya kujitawala ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

Ukweli wa haraka Nchi, Wilaya ...

Idadi ya wakazi wake ni takriban 12,024,400 (2025).

Mji mkuu ni Goma.

Remove ads

Jiografia

Thumb
Virunga National Park

Wilaya ya Kivu Kaskazini, iliyo kando ya ikweta, inajumuisha latitudo kutoka 0° 58' kaskazini hadi 2° 03' kusini na longitudo kutoka 27° 14' magharibi hadi 29° 58' mashariki.[1]

Wilaya

Mkoa umegawanywa katika wilaya 6:

  1. Beni
  2. Lubero
  3. Masisi
  4. Rutshuru
  5. Nyiragongo
  6. Walikale

Picha

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads