Mkoa wa Kusini, Kamerun
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Mkoa wa Kusini, Kamerun ni mmojawapo kati ya mikoa ya Kamerun. Jina lenyewe linadokeza mahali pake nchini, mpakani mwa Guinea ya Ikweta, Gabon na Jamhuri ya Kongo.
Mkoa huo una wakazi 749,552 (kadirio la mwaka 2015[1]) katika eneo la Km² 47,191.
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads