Mkoa wa Maputo
mkoa wa Msumbiji From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Maputo ni jina la kutaja mkoa ulioko nchini Msumbiji. Mji mkuu wake ni Matola.

Remove ads
Wilaya
- Wilaya ya Boane
- Wilaya ya Magude
- Wilaya ya Manhiça
- Wilaya ya Marracuene
- Wilaya ya Moamba
- Wilaya ya Namaacha
- Wilaya ya Matutuine
na miji ya:
- Manhiça
- Matola
Tazama pia
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Msumbiji bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Maputo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads