Mkoa wa Mwaro

From Wikipedia, the free encyclopedia

Mkoa wa Mwaro
Remove ads

Mkoa wa Mwaro ni mojawapo kati ya mikoa ya Burundi.

Thumb
Mahali pa Mkoa wa Mwaro katika Burundi

Eneo lake ni la km² 840 na liko magharibi mwa nchi.

Jumla ya wakazi ilikuwa 275,000 mwaka 2007.

Mji mkuu ni Mwaro.

Tazama pia


Maelezo zaidi Mikoa ya Burundi ...
Makala hii kuhusu maeneo ya Burundi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Mwaro kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads