Mkoa wa Tokat
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Tokat ni jina la mkoa uliopo mjini kaskazini mwa nchi ya Uturuki. Mkoa unapakana karibu kabisa na mikoa ya jirani kama vile Amasya kwa upande wa kaskazini-magharibi, Yozgat upande wa kusini-magharibi, Sivas kwa upande wa kusini-mashariki, na Ordu kwa upande wa kaskazini-mashariki. Mji mkuu wake ni Tokat, ambao umelalia katika kwenye eneo la Kanda ya Bahari Nyeusi, takriban kilomita 422 kutoka mjini Ankara.
Remove ads
Wilaya za mkoani hapa
Mkoa wa Tokat umegawanyika katika wilaya 12 (mji mkuu umekoozeshwa):
Viungo vya Nje
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Tokat kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads