Mkoa wa Trabzon

From Wikipedia, the free encyclopedia

Mkoa wa Trabzon
Remove ads

Trabzon ni jina la mkoa uliopo katika pwani ya Bahari Nyeusi huko nchini Uturuki. Upo kwenye kanda muhimu kabisa, Trabzon ni moja kati ya bandari ya kibiashara ya zamani zamani sana katika miji ya Anatolia. Idadi ya wakazi wa hapa ni 1,061,055 (makadirio ya 2006). Mikoa ya jirani pamoja na Giresun kwa upande wa magharibi, Gümüşhane kwa upande kusini-magharibi, Bayburt kwa upande wa kusini-mashariki na Rize kwa upande mashariki mwa nchi. Mji mkuu wake ni Trabzon. Mkoa huu ndiyo nyumbani kwa jumuiya ndogo ya Wagiriki Wakiislamu wanaongea lugha ya Kipontiki [1].

Thumb
Mahali pa Mkoa wa Trabzon
Ukweli wa haraka Maeneo ya Mkoa wa Trabzon nchini Uturuki, Maelezo ...
Remove ads

Wilaya za mkoani hapa

Trabzon province is divided into 18 districts (capital district in bold):

Historia

Historia ya wakazi

  • 2000 - 979,081
  • 1997 - 858,687
  • 1990 - 795,849
  • 1985 - 786,194
  • 1980 - 731,045
  • 1975 - 719,008
  • 1970 - 659,120
  • 1965 - 595,782
  • 1960 - 532,999
  • 1955 - 462,249
  • 1950 - 420,279
  • 1945 - 395,733
  • 1940 - 390,733
  • 1935 - 360,679
  • 1927 - 290,303

Marejeo

Viungo vya Nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads