Mlima Athos

mlima kaskazini mashariki mwa Ugiriki From Wikipedia, the free encyclopedia

Mlima Athos
Remove ads

Mlima Athos unapatikana katika rasi ya Athos iliyopo katika Ugiriki Kaskazini Mashariki na tangu kale (walau mwaka 800) ni mahali pa monasteri za kiume za Kanisa la Kiorthodoksi.

Thumb
Mlima ulivyo.

Mlima huo, wenye urefu wa mita 2033 juu ya usawa wa bahari, umeorodheshwa na UNESCO kama Urithi wa Dunia mwaka 1988.[1]

Thumb
Mlima Athos unavyoonekana kutoka Kaskazini Magharibi.

Tanbihi

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads