Mlima Gessi

From Wikipedia, the free encyclopedia

Mlima Gessi
Remove ads

Mlima Gessi uko katika safu ya milima ya Ruwenzori, kwenye mpaka wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Uganda (Afrika).

Thumb
Mlima Gessi katika Safu ya Milima ya Ruwenzori

Mlima huo ulipata jina lake kutoka kwa Mwitalia Romolo Gessi (1831 - 1881) aliyekuwa mtafiti wa chanzo cha mto Nile.[1][2]

Kilele cha juu cha Mlima Gessi ni Lolanda (mita 4,715 juu ya usawa wa bahari), halafu Bottego (mita 4699).[2]

Remove ads

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads