Mlima Lupanga

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Mlima Lupanga uko mashariki mwa Tanzania katika Mkoa wa Morogoro.

Kilele cha juu kiko mita 2,131 juu ya usawa wa bahari.

Ni kati ya milima ya Uluguru, ambayo ni sehemu ya milima ya Tao la Mashariki.

Tazama pia

Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads