Noshaq
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Noshaq ni mlima mrefu, wenye kimo cha m 7,492 juu ya usawa wa bahari. Ni sehemu ya safu ya milima ya Hindu Kush.
Uko kati ya Pakistan na Afghanistan.
Tazama pia
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Noshaq kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads