Mali (uchumi)
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Mali (kutoka neno la Kiarabu) katika uchumi linamaanisha chochote kile chenye thamani kilicho chini ya mamlaka ya mtu, kikundi, taasisi au umma kama mmiliki wake[1][2] .

Pia ni bidhaa alizonunua mfanyabiashara kwa lengo la kuziuza tena.
Tanbihi
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads